July 2026

News and Events
WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI MAHIWA WAJITOKEZA KWA WINGI KUCHANGIA DAMU.New!!

Katika kuendelea kuunga mkono juhudi za Serikali za kuhakikisha upatikanaji wa damu salama kwa ajili ya kuokoa maisha ya wagonjwa, timu ya huduma ya uchangiaji wa damu kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mt.Walburga Nyangao Julai,25,2026 imetembelea Shule ya Sekondari Mahiwa kwa lengo la kutoa elimu na kuhamasisha wanafunzi kushiriki katika uchangiaji wa damu kwa hiari.Wakizungumza […]

Read more