August 2026

News and Events
Teacher Leocian Shows Love and Compassion for Patients by Donating Various Items

Teacher Leocian Mtebe from Mahiwa Secondary School today, August 13, 2026, donated various essential items to needy patients admitted to the hospital, as well as young children. The donation exercise was coordinated by the Social Welfare Office at St. Walburga Nyangao Hospital. The donated items included laundry and bathing soap, toothpaste and toothbrushes, baby powder, […]

Read more
News and Events
WAKUU WA IDARA MT. WALBURGA WAKETI KUJADILI UTEKELEZAJI WA SHUGHULI MBALIMBALI.

Wakuu wa idara wa Hospitali ya Rufaa ya Mt. Walburga Nyangao, Julai 30, 2026, walikutana katika ukumbi wa mikutano wa hospitali hiyo kwa ajili ya Kikao cha Timu ya Menejimenti ya Hospitali (HMT), kilicholenga kujadili utekelezaji wa shughuli mbalimbali pamoja na kupanga mikakati ya kuendelea kuboresha huduma za afya zinazotolewa kwa wananchi. Kikao hicho kilijadili […]

Read more